Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa wanne wakamatwa kwa kuuawa kwa tembo 18 Amboseli

  • | Citizen TV
    3,882 views
    Duration: 2:40
    Washukiwa wanne wamekamatwa kufuatia vifo vya kutatanisha vya tembo 18 katika Hifadhi ya Amboseli. Washukiwa hao walikamatwa baada ya uchunguzi wa pamoja uliofanywa na maafisa wa Shirika la Huduma za Wanyamapori nchini (KWS), Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) na Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS). Uchunguzi umebaini kuwa tembo hao waliuawa kwa kupewa sumu.