- 10,687 viewsDuration: 2:35Washukiwa watatu wanazuiliwa na polisi kuhusiana na wizi wa mtoto wa wiki mbili anayedaiwa kuachwa kwenye kituo kimoja cha matibabu mtaani Kibera. Matukio hayo yalinaswa kwenye kamera za CCTV, huku mshukiwa mmoja akidaiwa kuwapotosha wapelelezi ambao bado wanamtafuta mtoto huyo aliyetoweka wiki mbili zilizopita