23 Sep 2026 1:26 pm | Citizen TV 1,416 views Duration: 1:23 Mahakama ya kitale imeruhusu kuendelea kuzuiliwa kwa washukiwa wawili wa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Joseph Njuguna hadi atakapozikwa, ndipo itoe uamuzi kuhusu ombi lao la kutaka kuachiliwa kwa dhamana.