- 2,645 viewsDuration: 2:22Muungano wa maseneta wa kike KEWOSA umetamaushwa idadi kubwa ya visa vya mimba za utotoni vilivyoripitiwa kaunti ya Kilifi baada ya takwimu kutoka baraza la kudhibiti maradhi ya kuambukiza kuonyesha kuwa jumla wasichana 7,358 walio kati ya umri wa miaka 10 hadi 19 walipata uja uzito kaunti hiyo mwaka jana.