- 28,071 viewsDuration: 1:00"Huwezi ukaiba kura labda uibe kompyuta na uchaguzi ni hesabu, sasa utaiba hesabu?" Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira katika mahojiano mwandishi wa BBC, @humphrey05 Video: @frankmavura #bbcswahili #CCM #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw