- 699 viewsDuration: 3:20Kwa siku ya pili, wanafunzi wa gredi ya kumi wameendelea kujiunga na sekondari ya juu huku wasiwasi ukizidi kuhusiana na utayari wa mfumo wa CBE. Miongoni mwa changamoto zilizojitokeza ni ukosefu wa vitabu na idadi kubwa ya wanafunzi ambao bado wanatafuta nafasi za gredi ya 10.