- 115 viewsKwa miaka mitano hivi wataalam wa afya nchini wameonya dhidi ya utumizi mbaya wa dawa za kuongeza nguvu za kiume. Hii ni kutokana na dawa hizo kusababisha madhara na hata kifo. Kwa mwaka mmoja sasa, wanaume watano wameripotiwa kufariki baada ya kutumia dawa hizo na kupata matatizo ya moyo. Wahudumu wa afya wanaouza dawa hilo wamelaumiwa kwa kutowalazimu watumizi kuwa na barua kutoka kwa daktari