25 May 2026 10:18 am | Citizen TV 341 views Duration: 1:34 Wataalamu wa afya pamoja na manusura wa ugonjwa wa Stroke wamezindua kampeni ya kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kupata matibabu ya haraka mara tu mtu anapopata dalili za ugonjwa huo.