- 175 viewsDuration: 1:40Licha ya Trans Nzoia kuwa hifadhi ya vyanzo vikuu vya maji katika Mlima Elgon na Milima ya Cherang’any ,wataalamu wa mazingira wasema uwekezaji katika kulinda maeneo hayo bado ni mdogo, hali tishiayo mustakabali wa rasilimali za maji.