Skip to main content
Skip to main content

Wataalamu wa mazingira wakutana Kitale kujadili mabadiliko ya tabianchi

  • | Citizen TV
    287 views
    Duration: 3:35
    Wataalamu wa mazingira na wabunifu kutoka maeneo mbalimbali nchini wamekutana mjini Kitale, kaunti ya Trans Nzoia, kujadili sera na suluhisho zinazoweza kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ambayo imeadhiri pakubwa uzalishaji Wa vyakula nchini.