- 1,120 viewsDuration: 2:39Hayo yakijiri, muungano wa wataalamu wa ujenzi nchini sasa unataka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya waliohusika kwa ujenzi wa jumba lililoporomoka katika mtaa wa South C hapa Nairobi. Wataalam hawa wakishikilia kwamba ufisadi na uvunjaji wa sheria ulisababisha jengo hilo kuporomoka. Na kama anavyoarifu emmanuel too, wataalamu hao pia wameonya kuwa asilimia 85 ya majumba mjini Nairobi si salama