- 1,166 viewsDuration: 2:06Watahiniwa zaidi ya elfu mbili mia tano kutoka kaunti ya kakamega wamenufaika na vifaa vya kufanyia mitihani ya kitaifa, ikiwemo wa gredi ya sita, nane na kidato cha nne, kutoka kwa mfanyabiashara katika kaunti hiyo bonface ngashira.