- 5,588 viewsDuration: 2:41Watawa Markina Zaveria Nyambura na Agnes Teresa Wanjiku, wame enziwa kwa kuyaweka mbele maslahi ya watu wasiojiweza, wagonjwa na hata wafungwa, kwa muda wao walipohudumu katika kanisa katoliki. Kwenye hafla ya mazishi ya wawili hao iliyoandaliwa katika makao makuu ya utawa wa Maria Immaculata huko Nyeri iliyoongozwa na askofu mkuu mstaafu Peter Kairu, wakenya na viongozi wametakiwa kutwaa mafunzo ya kujitolea na kuwa wakarimu