Skip to main content
Skip to main content

'Watazania wamesema mambo yaliyotokea Oktoba 29 hayafanani na Tanzania'

  • | BBC Swahili
    11,382 views
    Duration: 9:19
    Baada ya kuwasilishwa jana kwa ripoti ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 nchini Tanzania,mwandishi wa BBC, @HumphreyMgonja, amezungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira. Katika mahojiano hayo, Wasira amechambua masuala yaliyoibuliwa na ripoti hiyo, na juhudi za kufikia maridhiano, pamoja na hali ya sasa ya chama hicho. #bbcswahili #CCM #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw