Skip to main content
Skip to main content

Watetezi wa haki waitaka IEBC kufanya hamasisho la kupiga kura zaidi

  • | Citizen TV
    318 views
    Duration: 1:53
    Wanaharakati mjini Mombasa wametaka tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kufanya hamasiho zaidi ili kuongeza idadi ya wapiga kura wapya. Zoezi hilo likitazamiwa kukamilika hii leo, wametaka mikakati zaidi kuwekwa ikizingatiwa kuwa wakenya wengi bado hawajajiandikisha. Wakiongea mjini Mombasa wakati wa maadhimisho ya miaka 10 ya shirika la haki Africa wanaharakati hao pia wametangaza kuwa wakenya wengi wamepata ufahamu wa haki zao za kimsingi ikiwemo kushiriki katika uchaguzi.