- 604 viewsDuration: 2:15Watetezi wa haki za kibinadamu walikongamana katika bustani ya jeevanjee hapa jijini Nairobi kwa maadhimisho ya miaka 16 ya katiba. wanaharakati hao walielezea wasiwasi wao kuhusu kubanwa kwa haki za kukongamana, kuandamana na kujieleza , taifa linapoelekea uchaguzini. Aidha wamelalamikia ukandamizaji wa watetezi wa haki, visa vya utekaji nyara na mauaji ya kiholela, kando na dhulma zingine wanazosema zinatia doa azma ya katiba mpya.