Skip to main content
Skip to main content

Watu 108 waliotangamana na mgonjwa wa Ebola wawekewa karantini

  • | Citizen TV
    758 views
    Duration: 2:33
    Wizara ya afya sasa inasema kuwa watu 108 kati ya 122 waliotangamana na mgonjwa aliyefariki na ugonjwa wa ebola nchini wako kwenye karantini. Waziri wa afya aden duale kwenye taarifa aidha anasema kuwa ni kisa hicho pekee kilichothibitshwa kati ya sampuli 293 zilizopimwa hadi sasa. Katibu wa afya mary muthoni akiwarai wakenya kuendeleza tahadhari,