2 Dec 2025 10:53 am | Citizen TV 178 views Duration: 1:55 Visa vya maambukizi ya virus vya ukimwi 199 vimeripotiwa kaunti ya Makueni kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita huku zaidi ya asilimia 50 ya maambukizi hayo mapya yakihusisha vijana.