- 8,991 viewsDuration: 48sWatu watatu wafariki baada ya kukosa hewa kwenye shimo la taka katika shule ya upili ya wavulana ya Makindu kaunti ya Makueni.Watatu hao walikuwa wamepewa kazi ya kutoa maji taka kwenye mashimo hayo na wanatajwa kukosa hewa walipokuwa ndani jambo lililosababisha mauti yao . Maafisa wa idara ya kukabiliana na majanga kaunti ya Makueni ikishikriana na wale wa msalaba mwekundu wanaendelea kutoa miili ya watatu hao.