Skip to main content
Skip to main content

Watu 5 wafariki, 13 wajeruhiwa katika ajali Machakos

  • | Citizen TV
    3,046 views
    Duration: 1:10
    Watu 5 wamefariki na wengine 13 wakijeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya barabarani ambayo imehusisha matatu ya abiria 18 ya kampuni ya Kinatwa Sacco na Trela katika eneo la Kapiti kwenye barabara kuu ya Nairobi, Mombasa.