Skip to main content
Skip to main content

Watu 8 wajeruhiwa kwa mikuki Kericho katika mzozo wa mpaka wa ardhi

  • | NTV Video
    659 views
    Duration: 2:23
    Watu wanane wamejeruhiwa baada ya makundi hasimu yaliyodai umiliki wa shamba lenye ekari 1,200 katika eneo la Samburet Estate, mpakani mwa Kericho na Nakuru, kushambuliana kwa kulipizana kisasi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya