Skip to main content
Skip to main content

Watu saba wafariki kwenye ajali ya helikopta Samburu

  • | Citizen TV
    16,915 views
    Duration: 2:35
    Watu saba wamefariki kwenye ajali ya ndege aina ya Helikopta iliyotokea adhuhuri ya leo katika eneo la Ololokwe Samburu Mashariki. Kwa mujibu wa maafisa wa usalama, Rubani alikuwa raia wa Kenya huku waathiriwa wengine wakiwa raia wanne wa Marekani na wawili wa Equador.