9 May 2026 7:10 pm | Citizen TV 4,720 views Duration: 1:07 Watu sita wameuawa na wengine kujeruhiwa katika shambulio huko Mandera. Kulingana na Kamanda wa Polisi wa Mandera Robinson Ndiwa, waathiriwa walikuwa abiria kwenye gari la kukodisha.