Skip to main content
Skip to main content

Watu wa miaka 35 hadi 60 waongoza kwa visa vya msongo wa mawazo vinavyohusishwa na ulevi

  • | Citizen TV
    736 views
    Duration: 2:01
    Wakenya walio na umri wa kati ya miaka 35 hadi 60 ndio walioathirika zaidi na mfadhaiko pamoja na msongo wa mawazo unaohusishwa na ulevi na uraibu wa dawa za kulevya.