10 Jul 2026 1:04 pm | Citizen TV 192 views Duration: 2:06 Watu waishio karibu na msitu wa Kaptagat wakumbatia zoezi liendelealo la kujenga uzio kuzunguka msitu huo, wakisema hatua hiyo yaimarisha uhifadhi wa mazingira na kulinda maisha ya jamii .