9 May 2026 7:22 pm | Citizen TV 375 views Duration: 1:17 Watu wanne wameripotiwa kukwama kwenye jengo la ghorofa nane baada ya sehemu ya jumba hilo kuporomoka huko Ole Nairi, eneo la Oloolua, Kajiado Kaskazini, Jumamosi hii.