- 3,564 viewsDuration: 2:13Watu watano walifariki na wengine kujeruhiwa usiku wa kuamkia Jumatano kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Makotelo kwenye barabara ya Webuye–Malaba. Ajali hiyo ilitokea baada ya matatu waliyokuwa wakisafiria kutoka Nairobi kugongana ana kwa ana na lori la mizigo lililokuwa likitoka Malaba.