- 6,141 viewsDuration: 2:43Ghasia zimeshuhudiwa kwenye kampeini za uchaguzi mdogo wa eneobunge la Ol Kalou ambako watu watatu wamejeruhiwa. Ghasia hizi ambapo msafara wa chama cha DCP uliripotiwa kuvamiwa ulipokuwa kwenye kampeni zikitokea siku tano kabla ya uchaguzi huo mdogo kuandaliwa.