Skip to main content
Skip to main content

Watu watatu wajeruhiwa katika vurumai kwenye mkutano wa Gavana Nassir

  • | Citizen TV
    16,193 views
    Duration: 2:20
    Watu watatu wanauguza majeraha baada ya vurumai kuzuka kwenye mkutano uliohudhuriwa na Gavana wa Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir. Inadaiwa kuwa vurumai hiyo ilitokana na tofauti baina ya vijana na walinzi wa gavana. Walinzi hao wanadaiwa kufyatua risasi wakijaribu kuwatawanya vijana. Kama anavyoarifu sasa Francis Mtalaki, polisi wameanzisha uchunguzi.