Skip to main content
Skip to main content

watu wawili Shab wauawa katika shambulizi lidaiwalo yanafuatia mzozo kati ya wafugaji na wakulima

  • | Citizen TV
    1,759 views
    Duration: 2:18
    Hali ya wasiwasi yatanda katika eneo la Shab, mpakani mwa kaunti za Isiolo na Meru, baada ya watu wawili kuuawa katika shambulizi lidaiwalo kufanywa na majambazi wanaoshukiwa kutoka kaunti jirani ya Meru.