Skip to main content
Skip to main content

Watu wenye ulemavu wataka ujumuishaji zaidi katika sekta ya elimu

  • | Citizen TV
    302 views
    Duration: 1:14
    Watu wanaoishi na ulemavu wamesisitiza haja ya kujumuishwa katika sekta ya elimu, wakisema mfumo wa sasa bado unawatenga licha ya katiba kuhakikisha usawa kwa wote.