- 376 viewsDuration: 3:03Jamii ya wafugaji ya Waturkana katika kaunti ya Laikipia, imelalamikia vikali kubaguliwa katika maswala ya ajira na uteuzi serikalini. Viongozi wa jamii hiyo wanashinikiza kutambuliwa kwa jamii hiyo, na ujenzi wa mabwawa kwenye maeneo yao ili kuwaondolea dhiki ya ukosefu wa maji. Aidha wanataka miradi ya maendeleo na uchumi wa eneo hilo kuimarishwa. Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Mji wa Rumuruti,kaunti ya Laikipia.