26 Aug 2026 10:06 am | Citizen TV 108 views Duration: 2:02 wauguzi katika kaunti ya Kisii wasema kuwa hawatasitisha mgomo wao hadi pale serikali kuu na ya kaunti zatekeleza matakwa yao yakiwemo kupandishwa vyeo na kupewa ajira ya kudumu.