30 Jul 2026 1:06 pm | Citizen TV 336 views Duration: 1:46 Muungano wa wauguzi na wakunga katika kaunti ya Nyamira wametangaza kuanza rasmi kujiunga na wenzao kote nchini kwenye mgomo, uliotangazwa na viongozi wa muungano huo kitaifa kulalamikia mazingira duni ya kufanya kazi.