#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond.
Muungano wa Wauguzi Kaunti ya Siaya umeapa kuendelea na mgomo wao hadi pale mwajiri wao atakapowasilisha matozo yao kwa taasisi mbali mbali. Wakiongozwa na Katibu wa Muungano wa Wauguzi KNUN tawi la Siaya Kennedy Hamisi, wanataka kufidiwa kwa baadhi yao waliojeruhiwa na watu wanaodaiwa kuwa wahuni waliolipwa wakati wa maandamano yao wiki jana nje ya makao makuu ya kaunti hiyo. Wauguzi hao sasa wanaitaka serikali ya kaunti kuwafidia waliojeruhiwa na kulipa gharama za hasara za kifedha walizopitia huku wakisisitiza kuwa hawatorejea kazini hadi matakwa yao mengine yatakapotimizwa.
Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews