Gavana wa Machakos, Wavinya Ndeti, ameisihi Serikali ya Kitaifa kuharakisha malipo ya fedha za Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) zinazodaiwa na kaunti, akionya kuwa ucheleweshaji unaweza kuathiri vibaya utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya