Skip to main content
Skip to main content

Wavuvi Lamu wanalalamikia kunyakuwa kwa fuo za bahari eneo la Shella

  • | Citizen TV
    613 views
    Duration: 2:39
    Wavuvi kutoka eneo la Shela kisiwani Amu kaunti ya Lamu wamelalamikia unyakuzi wa baadhi ya sehemu za fukwe za bahari. Wakiongozwa na muungano wa wavuvi wa BMU, wavuvi hawa na wakazi wanalalamikia kuingiliwa kwa fukwe ya bahari ya Raskitau