Skip to main content
Skip to main content

Wavuvi wawili wauawa katika makabiliano ziwani Victoria

  • | Citizen TV
    7,756 views
    Duration: 2:31
    Hali ya huzuni imetanda katika ufuo wa Ndhuru ziwani victoria baada ya makabiliano miongoni mwa wavuvi kuzuka na kusababisha vifo vya wavuvi wawili jumamosi iliyopita. wavuvi ziwani humo wanapigania maeneo ya kuvua samaki.