Skip to main content
Skip to main content

Wawekezaji wa Darad mjini Diani wahofia kufurushwa

  • | Citizen TV
    2,032 views
    Duration: 2:20
    Wawekezaji wa eneo la Darad mjini Diani kaunti ya Kwale waelezea hofu yao ya kubomolewa majumba waliyowekeza baada ya kuarifiwa na wizara ya ardhi kuwa hatimiliki zao 756 zilifutiliwa mbali na mahakama.