Skip to main content
Skip to main content

Wazazi wahimizwa kukuza mila na tamaduni za Kiafrika

  • | Citizen TV
    832 views
    Duration: 3:26
    Wazazi wametakiwa kuwaelekeza wana wao kuzingatia mila za kiafrika zenye manufaa. Wakizungumza katika tamasha ya siku ya utamaduni iliyoandaliwa na taasisi mbalimbali za elimu jijini Eldoret wadau wa elimu wameelezea haja ya kukuza na kulinda mila za jamii za kiafrika zenye maadili ,na kutumia mila na tamaduni za kiafrika kama kigezo cha kueneza uwiano na utangamano wa kitaifa.