Skip to main content
Skip to main content

Wazazi watakiwa kuimarisha malezi kukabiliana na mmomonyoko wa maadili

  • | Citizen TV
    220 views
    Duration: 1:45
    Wadau wa elimu na viongozi wa jamii wameeleza wasiwasi kuhusu changamoto za malezi ya watoto, wakisema hali hiyo imechangia kuongezeka kwa mienendo potovu na kudorora kwa maadili miongoni mwa vijana. Wametoa wito kwa wazazi kuchukua nafasi kubwa zaidi