- 149 viewsDuration: 1:45Wazee katika eneo la Kiriari, Embu Kaskazini, wanataka hatua za haraka kuchukuliwa ili kumaliza mgomo wa wahudumu wa afya ambao sasa umeingia siku ya 25, wakisema wananchi wanaendelea kuathirika kutokana na kusitishwa kwa huduma katika hospitali za umma.