20 Aug 2026 1:40 pm | Citizen TV 536 views Duration: 2:16 Wazee wa jamii mbalimbali katika kaunti ya Trans Nzoia wameonya kuwa kuongezeka kwa siasa za chuki, uhasama na vurugu kunalielekeza taifa katika njia hatari, iwapo hali hiyo haitadhibitiwa mapema.