12 Oct 2026 10:44 am | Citizen TV 982 views Duration: 1:13 Wazee wa jamii ya Awliyahan kutoka kaunti ya Garissa wamemteuwa Gavana wa sasa wa kaunti hiyo Nathif Jama kama mgombea wa kiti cha Useneta katika uchaguzi mkuu ujao chini ya demokrasia ya maelewano.