7 Sep 2026 1:18 pm | Citizen TV 485 views Duration: 1:40 Wazee wa Esanyanait katika Kaunti ya Turkana wameitaka serikali kusitisha operesheni ya kutwaa silaha, wakidai kuwa hatua hiyo imelenga jamii moja pekee.