19 Aug 2026 10:17 am | Citizen TV 367 views Duration: 1:30 Mjadala kuhusu mgawanyiko wa kisiasa wa mlima Kenya wazidi kuibua upinzani huku wazee kutoka kaunti ya Kirinyaga wakipinga vikali mpango wa kugawanya eneo hilo kuwa kanda mbili za kisiasa.