Skip to main content
Skip to main content

Wazee wa jamii ya Sabaot wafanya tambiko maalu kuunganisha koo 28 za jamii ya hiyo

  • | NTV Video
    536 views
    Duration: 3:02
    Kufuatia mizozo na uhasama wa muda mrefu kati ya koo mbalimbali za jamii ya Sabaot, wazee wa jamii hiyo kutoka kaunti za Trans Nzoia, Bungoma na taifa jirani la Uganda wamefanya tambiko maalum katika kaunti ya Trans Nzoia. Tambiko hilo lililenga kuunganisha koo 28 za jamii ya Sabaot. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya