Skip to main content
Skip to main content

Wazee wa Siaya wapokea vitambulisho vya kitaifa, miongoni mwao mzee wa miaka 72

  • | Citizen TV
    347 views
    Duration: 2:36
    Hebu fikiri hili, mzee wa miaka 72 kuwa miongoni mwa watu waliojitokeza kupata kitambulisho cha kitaifa na umri huo? Hii ilikuwa hali katika kaunti ya Siaya ambako mamia ya wakongwe wamekuwa baadhi ya watu waliojitokeza kupata vutambulisho. Fredrick Agawa, mwenye umri wa miaka sabini na miwili ni kati ya wale waliopata kitambulisho hiki akitaja hatua hii kama mwako mpya maishani.