Skip to main content
Skip to main content

Waziri Aden duale asema serikali imechukua hatua kali mipakani kuzuia Ebola

  • | Citizen TV
    934 views
    Duration: 1:03
    Waziri wa Afya Aden Duale amesisitiza kuwa serikali imeweka mikakati ya kutosha kuzuia na kudhibiti ugonjwa hatari wa ebola dhidi ya kupenyeza kwenye mipaka ya kenya. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya sherehe za Eid Al-Adha Duale amesema wasafiri wanaotoka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na nchi jirani ya uganda wanapitia utaratibu wa hali ya juu kwa kupimwa na wataalamu wa afya kabla ya kuvuka mpaka kuingia nchini Kenya.