Skip to main content
Skip to main content

Waziri Deborah Barasa ahimiza upandaji wa mikoko zaidi kuhimili mabadiliko ya tabianchi

  • | Citizen TV
    498 views
    Duration: 3:16
    Waziri wa Mazingira na Misitu, Deborah Barasa, aliongoza maadhimisho ya siku ya kimataifa ya upanzi wa mikoko huko Lamu. Barasa amewahimiza wakazi kupanda mikoko zaidi ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.